Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Mashabiki kuingia bure ni Silaha kwa Yanga (+Video)

Mashabiki Wa Yangaa Mashabiki wa Yanga

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga ikitangaza kufuta viingilio katika mchezo wake wa mkondo wa kwanza wa hatua ya Robo Fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Mchambuzi mkongwe wa michezo kutoka nchini Edo Kumwembe amesema kitendo hicho kinaweza kuwa ni silaha ya ushindi kwa Yanga.

Akizungumza Edo katika Video hapa chini anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: