Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edin Dzeko kwake umri ni namba tu

Edin Dzeko Gola Mfungaji wa bao la Milan Edin Dzeko

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inter Milan Jan jumatano walifanikiwa kutanguliza mguu mmoja hatua ya Fai nali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi yua Mahasimu wao AC Milan mchezo wa nusu Fainali ya kwanza Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mabao ya Inter yalifungwa na Edin Dzeko na Mkhytarian, sasa Takwimu za Dzeko sio ndogo msimu huu.

Edin Dzeko katika Champions league msimu huu hadi sasa.

Mechi 11

Mechi alizoanza 9

Dakika 708

Mabao 4

Pasi ya bao 1

Dakika kwa kila bao 177

Nafasi alizotengeneza 8

Mashuti yaliyolenga goli 10

Chenga zilizofanikiwa 10

Ndiye mchezaji wapili mwenye umri kubwa zaidi (miaka 37 siku 54) katika historia ya michuano ya Uefa champions league, kufunga bao katika mechi ya nusu fainali.

Sasa amefunga mabao 8 ya mashindano yote dhidi ya Ac Milan katika career yake, ni timu mbili pekee amezifunga mengi zaidi.

Viktoria Plzen (12)

Manchester United (9)

AC Milan (8)

Takwimu zake katika mashindano yote msimu huu hadi sasa.

Mechi 47

Mechi alizoanza 30

Dakika 2700

Mabao 14

Pasi za mabao 4

Chanzo: www.tanzaniaweb.live