Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ederson atemwa Brazil

Ederson.jpeg Ederson

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa namba moja wa klabu ya Manchester City raia wa Brazil Ederson ameondolewa kwenye kikosi Cha timu ya taifa ya Brazil kilichoitwa kwa ajili ya kucheza michezo miwili ya kufuzu kombe la dunia 2026 kati ya Colombia na Argentina.

Mara baada ya kubainika kuwa ana jeraha katika mguu wake wa kushoto ambalo amelipata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Chelsea siku ya jumapili.

Nyota wengine ambao hawatakuepo kutokana na majeraha ni

Carlos Casemiro

Neymar Junior

Richarlison

Chanzo: www.tanzaniaweb.live