Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eden Hazard atangaza kustaafu Ubelgiji

WhatsApp Image 2022 12 07 At 13.jpeg Eden Hazard

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Ubelgiji, Eden Hazard ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kimataifa.

Hazard akiwa nahodha aliiongoza Ubelgiji kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka huu, lakini timu yake ilishindwa kufanya vizuri na ikaondolewa katika hatua ya makundi.

Hazard ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 31, na aliitumikia Ubelgiji michezo 126 àkifunga magoli 33.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live