Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eddie Howe: Chelsea ina wachezaji wanne tu

Newcastle Boss Eddie Howe 1 Kocha wa Newcastle, Eddie Howe

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Newcastle United kupitia kwa kocha wake Eddie Howe ameionya klabu ya Chelsea kuelekea mchezo wao wa Carabao kuwa makini kwani tayari ameshayajua madhaifu yao kupitia mchezo uliopita dhidi ya Sheffield United walioshinda kwa goli 2-0.

Klabu ya Newcastle United kupitia kwa kocha wake Eddie Howe ameionya klabu ya Chelsea kuelekea mchezo wao wa Carabao kuwa makini kwani tayari ameshayajua madhaifu yao kupitia mchezo uliopita dhidi ya Sheffield United walioshinda kwa goli 2-0. Eddie na kikosi chake kitashuka dimbani kuikabili Chelsea ya Mauricio Pochettino huku akisema kuna Chelsea kuna wachezaji wanne (4) tu wa maana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live