Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Echeverri amwaga wino Man City

Echieverri City Claudio Echeverri

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Claudio Echeverri kwa ada ya pauni milioni 12.5 kutoka klabu ya River Plate ya Argentina.

Manchester City imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Claudio Echeverri kwa ada ya pauni milioni 12.5 kutoka klabu ya River Plate ya Argentina. Echeverri (18) raia wa Argentina amesaini mkataba mpaka Juni 2028 lakini anasalia River Plate kwa mkopo mpaka Januari 2025 kabla ya kujiunga rasmi na Mabingwa hao watetezi wa EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live