Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Dube anakuja Yanga, Aziz Ki afichua 'nitamtengenezea nafasi'

EXCLUSIVE: Dube Anakuja Yanga, Aziz Ki Afichua 'nitamtengenezea Nafasi' EXCLUSIVE: Dube anakuja Yanga, Aziz Ki afichua 'nitamtengenezea nafasi'

Tue, 11 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa Mujibu wa Aziz Ki, msimu ujao hatakuwa mfungaji bora kwa kuwa atakuwa na kazi ya kumtengenezea Asisst Prince Dube pamoja na Guede ili wafunge mabao na haitakuwa tena kazi yake kufunga kwa kuwa yeye sio mshambuliaji.

Aziz Ki amefunguka hilo alipokuwa Insta Live akizungumza na mmoja wa staff wa Yanga dawati la Digital.

"Mimi ni kiungo mshambuliaji hivyo sitakuwa na jukumu la kufunga, nitakuwa na kazi ya kuwatengenezea Dube na Guede wafunge," alisema Aziz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live