Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#EPLUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo Arsenal vs Man City

Arsenal Vs Man City #EPLUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo Arsenal vs Man City

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal wanaikaribisha Man City katika Uwanja wa Emirates jioni ya leo mchezo wa Ligi Kuu England mzunguko wa 8.

Man City wanahitaji alama 3 ili kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi ambao hivi sasa unakamatwa na Tottenham.

Arsenal wanahitaji alama tatu ili kukamata msimamo wa ligi pia wakiwa na alama 17 nyuma ya man City wenye alama 18.

Winger wa Arsenal, Bukayo Saka anakosa mchezo wa Leo baada ya kucheza mechi 87 mfulululizo za Ligi.

Tazama vikosi vinavyoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live