Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#EPLUPDATES: 90+7' Arsenal 3-2 AFC Bournemouth

White Goal #EPLUPDATES: 90+7' Arsenal 3-2 AFC Bournemouth

Sat, 4 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika Uwanja wa nyumbani wa Emirates, Arsenal wanapiga comeback ya kibabe kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuongoza mabao 3-2 huku dakika zimkiwa zimesalia chache sana kwa mwamuzi kumaliza mchezo.

Katika Uwanja wa nyumbani wa Emirates, Arsenal wanapiga comeback ya kibabe kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuongoza mabao 3-2 huku dakika zimkiwa zimesalia chache sana kwa mwamuzi kumaliza mchezo. R. Nelson anapachika bao la tatu na kufanya matokeo mpaka sasa kuwa 3-2 dakika za lala salama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live