Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EPL: Vilabu vya Uingereza na AFCON 2021

Impact African Cup Hero EPL VS AFCON

Tue, 28 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya AFCON iliyoahirisha mwaka 2021 sasa kuendelea mwaka Januari 2022 wakati ligi kuu ya Uingereza ikiwa imepamba moto huku vilabu vingi vikipoteza wachezaji wake mahiri kwenye wakati muhimu.

Habari njema kuwa EPL imewarujusu wachezaji waote walioitwa na timu zao za taifa kwenda kushiriki michuano hiyo itakayoanza kutimua vumbi tarehe 3 Januari 2022.

Hii hapa ni listi kamili ya wachezaji watakao safiri kurudi Afrika;

Arsenal; Thomas Partey (Ghana) Mohamed Elneny (Egypt) Pierre Emerick Aubameyang (Gabon) Nicolas Pepe (Ivory Coast), Aston Villa Bertrand Traore (Burkina Faso) Trezeguet (Egypt) Brentford Frank Onyeka (Nigeria).

Brighton & Hove Albion; Yves Bissouma (Mali) Ulrick Eneme Ella (Gabon) Burnley; Maxwel Cornet (Ivory Coast) Chelsea; Edouard Mendy (Senegal) Crystal Palace; Jordan Ayew (Ghana) Cheikhou Kouyate (Senegal) Wilfried Zaha (Ivory Coast) Everton; Alex Iwobi (Nigeria).

Leicester City Daniel Amartey (Ghana) Kelechi Iheanacho (Nigeria) Nampalys Mendy (Senegal) Wilfred Ndidi (Nigeria) Liverpool; Naby Keita (Guinea) Sadio Mane (Senegal) Mohamed Salah (Egypt) Manchester City; Riyad Mahrez (Algeria).

Manchester United; Eric Bailly SouthamptonMoussa Djenepo (Mali) Watford; Emmanuel Dennis (Nigeria) Adam Masina (Morocco) Imran Louza (Morocco) Ismaila Sarr (Senegal) William Troost-Ekong (Nigeria) West Ham United; Said Benrahma (Algeria).

Wolverhampton Wanderers; Willy Boly (Ivory Coast) Romain Saiss (Morocco).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live