Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dyabala: Mimi ni mchezaji mwenye bahati zaidi Duniani

Paulo Dyabala With Goats Dyabala: Mimi ni mchezaji mwenye bahati zaidi Duniani

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa AS Roma na Timu ya Taifa ya Argentina Paulo Dyabala amesema kuwa anajiona miongoni mwa wachezaji wenye bahati ulimwenguni baada ya kufanikiwa na nyota wanaotajwa kuwa bora kwa kizazi hiki katika Soka.

Dyabala amecheza pamoja na Cristiano Ronaldo ngazi ya Klabu lakini pia amecheza na Messi Timu ya Taifa.

Akizungumza Dyabala anasema

"Katika maisha yangu ya soka nimecheza na Leo Messi tukiwa na Argentina na nilicheza na Cristiano Ronaldo pale Juventus.

Naweza kusema mimi ndiye mchezaji wa soka mwenye bahati zaidi duniani"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live