Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duke Abuya sasa ni Mwananchi

Duke Abuya Mwananchi.jpeg Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Duke Abuya

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Duke Abuya (30) raia wa Kenya kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na Singida Black Stars kufikia ukomo.

Klabu ya Yanga SC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo Duke Abuya (30) raia wa Kenya kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na Singida Black Stars kufikia ukomo. Abuya (30) raia wa Kenya anakuwa mchezaji wa sita kutia Jangwani kwenye dirisha hili baada ya Clatous Chama, Prince Dube, Chadrack Boka, Khomeiny Aboubakar na Aziz Andambwile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: