Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duh! Safu ya Ushambuliaji Arsenal

Gabriel Martinelli, Eduard Nketiah Na Bukayo Saka Bukayo Saka na Martinelli

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa safu ya ushambuliaji ya vinara wa EPL, Arsenal iliwagharimu Washika Mitutu hao kiasi cha pauni milioni 6 tu.

Unaambiwa safu ya ushambuliaji ya vinara wa EPL, Arsenal iliwagharimu Washika Mitutu hao kiasi cha pauni milioni 6 tu. Katika michuano yote msimu huu Gabriel Martinelli, Eduard Nketiah na Bukayo Saka wamechangia magoli 21 na assist 11 katika mechi 25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live