Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duh EPL Kiboko! Makocha 12 watimuliwa mpaka sasa

Potter Vs Rodgers Graham Potter na Brendan Rodgers wametimuliwa siku ya jana Jumapili

Mon, 3 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka kufikia jana April 3, Makocha 12 wa Vilabu vya EP wametimuliwa ndani ya msimu huu unaonendelea 2022/2023.

Idadi hiyo ni kubwa kupita kiasi na hali ya kuwa msimu bado unaendelea hivyo kuna uwezekano wa kuongezeka vilevile.

Tazama orodha ya Makocha waliotimuliwa EPL msimu huu;

Scott Parker (Bournemouth), Steven Gerrard (Aston Villa), Frank Lampard (Everton), Nathan Jones (Southampton), Thomas Tuchel (Chelsea), Bruno Lage (Wolves), Ralph Hassenhüttl(Southampton), Jesse Marsch (Leeds United), Patrick Vieira (Crystal Palace), Antonio Conte (Tottenham), Brendan Rodgers (Leicester City), Graham Potter (Chelsea).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live