Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dube atangaza rasmi kuachana na Azam FC

Dube Atangaza Rasmi Kuachana Na Azam FC Dube atangaza rasmi kuachana na Azam FC

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.

Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka ,Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.

Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana. dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] Dube hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live