Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dube ajilipua, afuta picha zote na jezi ya Azam

Dube Ataja Siri Ya Kutupia Azam FC.jpeg Dube ajilipua, afuta picha zote na jezi ya Azam

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Azam, Prince Dube, amefuta picha zote alizopiga akiwa na jezi ya timu ya Azam kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa instagram ya mgadafiprince.73, pia ameiondoa @azamfcofficial kwenye profile yake. - Dube ambaye ni raia wa Zimbabwe, ameandika barua ya kuomba kuvunja mkataba na klabu hiyo na kuelezwa kuwa Azam ipo tayari kumuachia lakini alipe dola za Marekani 300,000. -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live