Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Droo ya robo fainali CAFCL hii hapa, Rivers wapewa USM Alger

CafccAlmg .jpeg Droo ya robo fainali CAFCL hii hapa, Rivers wapewa USM Alger

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limepanga droo ya hatua ya Robo fainali kwa mashindano ya CAFCC leo Machi 12 , Jiji Cairo nchini Misri ambapo Bingwa mtetezi, USM Alger amepangwa kuchezwa na Rivers United ya Nigeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live