Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Droo ya UEFA kuchezeshwa leo

Droo Fd Droo ya UEFA kuchezeshwa leo

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Droo ya UEFA Ligi ya Mabingwa Ulaya itachezeshwa siku ya Ijumaa, Machi 15 nchini Uswisi.

Timu nane zimeingia katika droo hiyo ya robo fainali. Droo pia itatoa mwelekeo wa nusu fainali na fainali.

Timu ambazo zitachezeshwa ni:

Arsenal Barcelona PSG Atletico Madrid Borussia Dortmund Bayern Munich Real Madrid Manchester City.

Droo hii itakapochezwa na kuthibitishwa, timu zitaanza kujiandaa kwa ajili ya mechi za mwanzo zitakazochezwa April 9/10 na marudiano April 16/17.

Nusu fainali zitachezwa Aprili 30/ Mei 1 na marudiano Mei 7/8.

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itachezwa Juni Mosi kwenye uwanja wa Wembley jijini London.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live