Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Droo nzima ya robo fainali CAFCL mpaka fainali hii hapa

Cafcl Msz.jpeg Droo nzima ya robo fainali CAFCL hii hapa

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Droo ya robo fainali mpaka fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imechezeshwa leo na timu 8 zitakazomenyana robo fainali zimepangwa.

Katika droo hiyo, Tanzania imeweka rekodi katika historia ya soka kwa kuingiza timu mbili ambazo ni Simba na Yanga kwenye michuano hiyo huku, Mabingwa wa Tanzania, Yanga wamepangwa kucheza na Mamelodi Sundowns wakati Simba wakipangwa na Al Ahly.

1. Simba Sc vs Al Ahly

2. TP Mazembe vs Petro Atletic

3. Esperance vs Asec Mimosas

4. Yanga Sc vs Mamelodi Sundowns.

Mshindi wa nusu robo fainali ya kwanza atakutana na msindi wa robo fauinali ya pili wakati mshindi wa robo fainali ya tatu akikutana na mshindi wa robo fainali ya nne.



Mechi za kwanza za michuano hiyo ambazo Simba na Yanga watakuwa ugenini, zitapigwa kati ya Machi 29 hadi 31, 2024 katika Dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live