Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Droo hatua ya 16 Bora UEFA kurudiwa

Marudio Droo ya hatua ya 16 Bora kurudiwa

Mon, 13 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

UEFA imetangaza kurudia droo ya Klabu Bingwa Ulaya kufuatia uwepo wa tatizo la kiufundi katika mfumo wa kuamua timu gani inaweza kucheza dhidi ya timu gani.

UEFA imetangaza kurudia droo ya Klabu Bingwa Ulaya kufuatia uwepo wa tatizo la kiufundi katika mfumo wa kuamua timu gani inaweza kucheza dhidi ya timu gani. Droo itarudiwa saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, hivyo ni wakati wa kusubiri tena kwa shauku kuona nani atacheza na nani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live