Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Doumbia asaini Watford

Dcdhytdcgf Mamadou Doumbia

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watford wamemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Mali bwana mdogo Mamadou Doumbia kwa kandarasi ya miaka sita.

Watford wamemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Mali bwana mdogo Mamadou Doumbia kwa kandarasi ya miaka sita. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 anayetumia mguu wa kushoto vyema kabisa atajiunga na Hornets tarehe 1 Julai akitokea Black Stars FC ya Mali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live