Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dortmund warudi upya kwa Elanga

Elanga To Dortmund Anthony Elanga

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Borussia Dortmund imeripotiwa kuamsha upya mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Elanga baada ya kushindwa kunasa saini yake Januari.

Borussia Dortmund imeripotiwa kuamsha upya mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Elanga baada ya kushindwa kunasa saini yake Januari. Elanga, 21, hakuwa na wakati mzuri msimu wa kwanza wa kocha Ten Hag, ambapo alishindwa kufunga bao akaishia kuasisti mara mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live