Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dortmund wamualika Klopp Fainali UEFA

Klopp Aalikwa Kocha wa zamani wa Dortmund na Liverpool, Jurgen Klopp

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Borussia Dortmund imemualika kocha wao wa zamani Jürgen Klopp kutazama fainali ya Uefa Champions League usiku wa leo, hivyo atakuwa akitazama jukwaani.

Klabu ya Borussia Dortmund imemualika kocha wao wa zamani Jürgen Klopp kutazama fainali ya Uefa Champions League usiku wa leo, hivyo atakuwa akitazama jukwaani. Kocha huyo wa zamani wa Liverpool aliiongoza timu hiyo ya Ujerumani kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika uwanja huo huo wa Wembley mwaka 2013 dhidi ya FC Bayern Munich ambapo walipoteza kwa mabao 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live