Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dortmund wajipanga kumng'oa Sancho Man United

Jadon Sancho Saga Jadon Sancho

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Borussia Dortmund ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha ofa rasmi yenye thamani ya €30m kwenda klabu ya Manchester United juu ya kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo raia wa Uingereza Jadon Malik Sancho ambae kwa Sasa yupo kwa mkopo wa muda mfupi (mpaka mwisho wa msimu huu),

Klabu ya Borussia Dortmund ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha ofa rasmi yenye thamani ya €30m kwenda klabu ya Manchester United juu ya kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo raia wa Uingereza Jadon Malik Sancho ambae kwa Sasa yupo kwa mkopo wa muda mfupi (mpaka mwisho wa msimu huu), Jadon ameonekana kuwa na furaha zaidi ya kuendelea kusalia Borussia Dortmund na sio kurejea Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live