Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dortmund waendelea kumnyatia Sancho

Jadon Sancho Jadon Sancho

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Borussia Dortmund bado imeendelea kufanya mazungumzo na Manchester United ili kuipata saini ya mshambuliaji wao wa zamani, Jadon Sancho dirisha hili.

Sancho mwenye umri wa miaka 23, amekuwa na wakati mgumu tangu ajiunge na Man United.

Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2026 na inaonekana hatakuwa kwenye mipango ya Kocha Erik Ten Hag.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live