Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dortmund hali tete Bundasliga

Dortmund Defeat Nkunku akishangilia goli dhidi ya Dortmund

Sun, 7 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kama bundi bado anaendelea kuzunguka mlangoni mwa klabu ya Borussia Dortmund baada ya jana jumamosi kupokea tena kichapo kutoka kwa RB Leipzig.

Dortmund wamepoteza kwa magoli 2-1, huku wakiwa hawajasahu kichapo cha katiu kati ya wiki walichokipata kutoka kwa Ajax Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Magoli ya Leipzig katika mchezo huo yamefungwa na C. Nkunku 29' na Y. Poulsen 68' huku lile la Dortmund likiwekwa wavuni na M. Reus dakika ya 52 ya mchezo.

Dortmund kwa sasa inamkosa mpachika mabao wake Haaland ambae anaesumbuliwa na majeruhi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live