Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Done Deal: Pulisic atua Milan

Christian Pulisic Milan Christian Pulisic

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Christian Pulisic amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na AC Milan akitokea Chelsea.

AC Milan watalipa ada kiasi cha €20M pamoja na nyongeza. Christian Pulisic atasaini Mkataba wa miaka minne hadi Juni 2027.

Atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live