Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Done Deal: Igor atua Brighton

Ignor Julio Igor Julio

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Brighton imekamilisha usajili wa mlinzi Igor Julio kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 20 kutoka Fiorentina.

Klabu ya Brighton imekamilisha usajili wa mlinzi Igor Julio kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 20 kutoka Fiorentina. Igor (25) raia wa Brazil amesaini mkataba wa miaka minne mpaka Juni 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live