Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Done Deal: Danjuma atua Tottenham

Arnaut Danjuma Arnaut Danjuma

Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mshambuliaji Arnaut Danjuma (25) kwa mkataba wa mkopo mpaka mwisho wa msimu.

Klabu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mshambuliaji Arnaut Danjuma (25) kwa mkataba wa mkopo mpaka mwisho wa msimu. Spurs imejumuisha kifungu cha kumchukua jumla nyota huyo mzaliwa wa Nigeria mwenye uraia wa Uholanzi ikiwa atakuwa na kiwango cha kuridhisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live