Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Done Deal: Arsenal wathibitisha usajili wa Kai Havertz

IMG 4477 Kai Heverts.jpeg Kai Havertz

Thu, 29 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal imethibitisha kumsajili mshambuliaji Kai Havertz kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 65 kutoka Chelsea.

Havertz (24) raia wa Ujerumani amesaini mkataba wa kuwatumikia Washika mitutu hao mpaka Juni 2028 na atavaa jezi namba 29.

Kai anakuwa usajili wa kwanza wa Arsenal na anakuwa usajili wa pili ghali zaidi kwenye historia ya klabu hiyo nyuma ya Nicholas Pepe (pauni milioni 72).

Havertz ameondoka Chelsea baada ya kudumu nao kwa kipindi cha miaka mitatu tangu aliposajiliwa kwa ada ya pauni milioni 75 kutoka Bayer Leverkusen ya Ujerumani mnamo 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live