Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Done Deal: Arsena wakamilisha usajili wa Jurrien Timber

Timber Jurrien Timber asaini Arsenal

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa klabu ya Ajax Jurrien Timber amejiunga na klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England maarufu kama EPL.

Mlinzi wa kati wa klabu ya Ajax Jurrien Timber amejiunga na klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England maarufu kama EPL. Mchezaji huyo wa kiholanzi amepewa mkataba wa muda mrefu ndani ya Arsenal ( miaka 5 ) Kwa dau la £38m,Na nyongeza baadaye £10m.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live