Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dondoo muhimu za Ligi Kuu NBC

Yanga Vs KMc 5 0.jpeg Yanga ndio Timu iliyofunga mabao mengi katika mchezo mmoja

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa muda kupisha ratiba ya michezo ya Timu ya Taifa kujiandaa na AFCON.

Ni timu nne pekee kati ya 16 ndio hazijafanikiwa kufunga bao lolote mpaka sasa ikiwa kila timu tayari imefanikiwa kucheza angalau mchezo mmoja.

Timu hizo ni,

Tanzania Prisons

Kagera sugar

Tabora United(kitayosce)

Singida Big stars(SFG)

Klabu ya Dodoma jiji ndio inaongoza kwa wachezaji wake kupata kadi za njano.

Mpaka sasa wamepata kadi saba za njano ndani ya michezo miwili.

Klabu ya Yanga ndio klabu inayoongoza kufunga magoli mengi katika mchezo mmoja mpaka sasa (5).

Mchezo wa Mtibwa Sugar na Simba SC ndio mchezo uliozalisha magoli mengi zaidi (magoli 6).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: