Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Don Carlo ndiye kiboko ya Guardiola

Don Carlo Na Guardiola Don Carlo ndiye kiboko ya Guardiola

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Carlo Ancelotti ndiye meneja wa kwanza kumtoa Pep Guardiola kwenye Ligi ya Mabingwa katika kampeni tatu tofauti:

◎ Nusu fainali ya 2014 dhidi ya Bayern⁠

◎ Nusu fainali 2022 dhidi ya Man City⁠

◉ Robo fainali 2024 dhidi ya Man City⁠

Don aliendelea kushinda mara mbili zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live