Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dominik Solanke ageuka lulu Ulaya

Solanke Dominik Solanke ageuka lulu Ulaya

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu za Arsenal , Newcastle United , Borussia Dortmund na Manchester United zipo katika vita ya kumuwania mshambuliaji wa klabu ya AFC Bournemouth Dominick Solanke ili wamsajili katika dirisha kubwa la usajili msimu ujao.

Klabu za Arsenal , Newcastle United , Borussia Dortmund na Manchester United zipo katika vita ya kumuwania mshambuliaji wa klabu ya AFC Bournemouth Dominick Solanke ili wamsajili katika dirisha kubwa la usajili msimu ujao. Solanke mpaka sasa amefunga mabao 19 EPL akiwa na AFC Bournemouth jambo linalovutia vialabu vingi kuisaka huduma yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live