Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo wa miaka 16 aitwa Timu ya Taifa Sudan

Lazarus Peter George Laku Kijana wa miaka 16 Lazarus Peter George Laku

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana wa miaka 16 Lazarus Peter George Laku AMEITWA kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini, kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA dhidi ya Togo na Sudan,

Lazarus anachezea Future Stars Academy alijiaolea umaarufu mwaka jana baada ya kufunga mabao SABA dhidi ya Djibouti kwenye michuano ya CECAFA U15.

Alifikisha miaka 16 siku tano tu zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live