Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo wa Geza-Ulole apata shavu AFCON

Vignette Total Ball Kids2 Dogo wa Geza-Ulole apata shavu AFCON

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Salim Ally Kakomile, mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Geza-Ulole, wilayani Kigamboni, mkoani Dar es Salaam, amefanikiwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa waokota mipira uwanjani maarufu kama Ball Kids, kwenye michuano ya AFCON itakayofanyika nchini Ivory Coast.

Salim Ally Kakomile, mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Geza-Ulole, wilayani Kigamboni, mkoani Dar es Salaam, amefanikiwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa waokota mipira uwanjani maarufu kama Ball Kids, kwenye michuano ya AFCON itakayofanyika nchini Ivory Coast. Akizungumza na ITV, Kijana huyo amesema anafurahi sana kupata nafasi hiyo kwani ilikuwa moja ya ndoto yake ya kuja kushuhudia wachezaji wakubwa duniani ambao baadhi yao, watashiriki michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live