Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma vs Azam, waamuzi wameiba muda wetu

Azam Dodoma Dodoma vs Azam, waamuzi wameiba muda wetu

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Idadi ya dakika za nyongeza bado haiakisi uhalisia wa muda ambao mpira hauko mchezoni kwenye ligi yetu, jana imepigwa 'Bundesliga' pale makao makuu (rafu 51) kutoka kwa timu zote.

Rafu nyingi zimepigwa first half na kuna kadi za njano za kutosha zimetoka, isitoshe Bangala akawa chini kwa dakika kadhaa kwenye kipindi hiko alafu zikaongezwa dakika 3 tu.

Umetokea mtafaruku wa dakika nyingi kipindi cha pili na rafu zingine kadhaa alafu dakika 4 zikaongezwa. Ni nyongeza chache sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: