Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yapigwa Faini kisa kadi za njano

Dodoma Jiji Adhabu.jpeg Dodoma Jiji yapigwa Faini kisa kadi za njano

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza klabu ya Dodoma Jiji faini ya Tsh laki tano (Tsh 500000) kwa kosa la wachezaji wake sita (6) kuonywa kwa kadi ya manjano katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union ambapo Dodoma Jiji iliibuka na ushindi wa 2-1 katika dimba la Jamhuri jijini Dodoma Agosti 15, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: