Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yalazimishwa sare na Prisons

IMG 0213.jpeg Dodoma Jiji yalazimishwa sare na Prisons

Sat, 11 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Dodoma Jiji wamelazimishwa sare ya mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Wenyeji, Dodoma Jiji wamelazimishwa sare ya mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi 29 katika mchezo wa 25 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 10, wakati Tanzania Prisons wanafikisha pointi 33 katika mchezo wa 26 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: