Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yaitembezea dozi KMC Uwanja wa Uhuru

IMG 6210.jpeg Dodoma Jiji ilishinda mabao 2-1

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, KMC wamechapwa mabao 2-1 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Dodoma Jiji yamefungwa na Zidane Sereri dakika ya tatu na Emmanuel Martin dakika ya 22, wakati la KMC limefungwa na Rashid Chambo dakika ya 32.

Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya nne ikiizidi wastani wa mabao KMC baada ya wote kucheza mechi tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: