Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yaichapa Kagera Jamhuri

IMG 7208.jpeg Dodoma Jiji yaichapa Kagera Jamhuri

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Bao pekee la Christian Zigah dakika ya 40 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Oktoba 25 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Bao pekee la Christian Zigah dakika ya 40 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Oktoba 25 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi tisa na kusogea nafasi ya tano, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake nane nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi saba.

Chanzo: Mwanaspoti