Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yaichapa Ihefu Uwanja wa Jamhuri

IMG 7990.jpeg Dodoma Jiji yaichapa Ihefu Uwanja wa Jamhuri

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Wenyeji Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Bao hilo pekee la Walima Zabibu limefungwa na Yassin Mgaza dakika ya 55 na kwa ushindi huo, wanafikisha pointi 18 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya saba, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 13 za mechi 14 nafasi ya 14 kwenye Ligi ya timu 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: