Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji yaichapa Coastal Mkwakwani

Coastal Vs Dodoma Jiji Dodoma Jiji yaichapa Coastal Mkwakwani

Thu, 1 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliopigwa jana Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao pekee la Dodoma Jiji FC limefungwa na mchezaji wa zamani wa Coastal Union hiyo hiyo, Rashid Chambo dakika ya 90.

Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 14 na kusogea nafasi ya 13, wakati Coastal Union inabaki na pointi zake 12 pia za mechi 13 nafasi ya 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live