Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji waichapa Magereza Dar Kombe la ASFC

IMG 7927.jpeg Dodoma Jiji waichapa Magereza Dar Kombe la ASFC

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Hassan Mwaterema limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Magereza ya Dar es Salaam katika mchezo wa hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Bao pekee la Hassan Mwaterema limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Magereza ya Dar es Salaam katika mchezo wa hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mechi nyingine za Jana ASFC JKT Tanzania ime Kurugenzi ya Simiyu kwa mabao 5-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam, Ihefu SC imeitoa Rospa FC ya Mtwara kwa kuichapa mabao 3-0 Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya na Coastal UniĆ³n imeichapa Greenland ya Kagera mabao 2-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live