Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Jamhuri

Dodoma Jiji FC VS Kagera Dodoma Jiji waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Jamhuri

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Ijumaa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Wenyeji, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Ijumaa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mabao ya Dodoma Jiji yamefungwa na Collins Opare dakika ya 24 na Hassan Mwaterema dakika ya 66 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 21 katika mchezo wa 19, ingawa wanabaki nafasi ya 12, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 24 za mechi 19 nafasi ya sita

Chanzo: www.tanzaniaweb.live