Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dodoma Jiji ni Samora Iringa, Fountain Gate ni Jamhuri Morogoro

Dododma+jiji+pic Dodoma Jiji ni Samora Iringa, Fountain Gate ni Jamhuri Morogoro

Fri, 23 Oct 2020 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

By Matereka JaliluMchezo wa ligi kuu bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Tanzania Prisons, uliopangwa kuchezwa siku ya Jumatatu Oktoba 26, utachezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa badala ya Jamhuri Dodoma.

 

Taarifa iliyothibitishwa na uongozi wa timu ya Dodoma Jiji ambao ndio wanaotumia uwanja wa Jamhuri kama uwanja wa nyumbani, imeeleza kuwepo kwa shughuli kwenye uwanja huo ndio sababu ya kuchagua kutumia uwanja wa Samora.

 

Akizungumzia sababu za kuuchagua uwanja wa Samora, katibu wa Dodoma Jiji, Fourtnatus Johnson alisema, ukaribu uliopo baina ya Dodoma na Iringa pamoja na kutokuwa na matumizi mengine ndio umewafanya kuamua kuuchagua.

 

Chanzo: mwanaspoti.co.tz