Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dk Ndumbaro: Simba kuna Bundi wameingia kwenye mgogoro (+Video)

Ndumbaro, Hersi, Gamondi Dk Ndumbaro: Simba kuna Bundi wameingia kwenye mgogoro

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ni sehemu ya hotuba ya Waziri wa Sanaa tamaduni na michezo Mhe. Dkt. Damasi Ndumbaro kwenye Mkutano Mkuu wa klabu ya Yanga.

"Tukiondoa ushabiki wetu, Yanga wamepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ya soka. Nasema hivi ili vilabu vingine vipate wivu. Jambo hili halijatokea kama uyoga, tuwape heshima zao, Injinia Hersi na GSM. Nawasihi wanayanga wawalinde hawa watu kwa wivu mkubwa sana. Asije mtu akatokea na njaa zake akawarudisha mlikotoka. Ile klabu yangu mimi, bundi amehamia sasa hivi" Waziri wa Sanaa tamaduni na michezo Mhe. Dkt. Damasi Ndumbaro

View this post on Instagram

A post shared by ???????? ???????? (@pmtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: