Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Djuma Shabani atua Namungo

Djuma Shabani Msz Djuma Shabani atua Namungo

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Namungo imekamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Djuma Shabani akiwa Mchezaji huru ( Free agent).

Klabu ya Namungo imekamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Djuma Shabani akiwa Mchezaji huru ( Free agent). Djuma Shabani ataitumikia klabu ya Namungo kuelekea msimu ujao kwa mkataba wa mwaka mmoja na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live