Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dj Khalid amualika Vinicius Jr nyumbani kwake baada ya UEFA (+Video)

DJ Khalid X Vini Dj Khalid amualika Vinicius Jr nyumbani kwake baada ya UEFA

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani Dj Khaled amemualika mchezaji wa klabu ya Real Madrid Vinicius Jr nyumbani kwake kwa ajili ya kumpongeza kufuatia na kuondoka na taji la ubingwa Barani Ulaya.

Wikiend hii klabu ya Madrid ilibeba taji lao la 15 la UEFA kwenye fainali dhidi ya timu ya Doutmund mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Wembley, Madrid wakishinda 2-0 huku Vini Jr akitupia goli 1 kati ya hayo mawili.

View this post on Instagram

A post shared by ???????? ???????? (@pmtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live