Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ditram Nchimbi atua Ligi Kuu ya Rwanda

DITRAM NCHIMBI Ditram Nchimbi

Sat, 27 Jan 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Mshambuliaji wa zamani wa Vilabu vya Njombe Mji, Polisi Tanzania, Geita Gold FC, Fountain Gate, Mbeya City na Yanga SC Ditram Nchimbi amejiunga na klab ya Etincelles ilnayoshiriki LIGI kuu ya nchini Rwanda.

Mshambuliaji wa zamani wa Vilabu vya Njombe Mji, Polisi Tanzania, Geita Gold FC, Fountain Gate, Mbeya City na Yanga SC Ditram Nchimbi amejiunga na klab ya Etincelles ilnayoshiriki LIGI kuu ya nchini Rwanda. Nchimbi amejiunga na klabu ya Etincelles kwa kandarasi ya miezi 6.

Chanzo: Mwanaspoti